- Ati chapo 30bob.. kwani imepikwa na mafta ya transformer?
- Ati Matatu 800..kwani nashuka na viti?
- Ati Simu 70k.. kwani ina bafu na choo?
- Ati Tie 300..kwaniinakuja na shingo?
- Ati Sabuni 1K..kwani inaosha hadi dhambi?
- Ati Mbuzi 10k..kwani inazaa ng'ombe??
- Ati Ovacado 25bob..kwani mbegu yake ni lolipop
- Ati matatu700,kwan dere ni pilot
- Ati bra 1000,kwan ni long sleeved
- Ati kiatu 10000,kwani inakam na barabara yake
- Ati bash ya kurka mwaka 5000,qwan naruka adi 2015
- Ati munaomba serikali,kwani hiyo ni
dini gani? - Ati kuona simba 500? kwani ni simba
wa yuda? - Ati belt 2k kwani inavaliwa bila toja
- Ati Uhuruto for statehouse.......... Kwani Hague kulibomolewa??
- Ati success card ni 400,kwani inakuja na mwakenya
- Ati PK 30 bob , kwani imetafunwa na Ferguson?
- Ati laptop 70k kwani iko na Windows ya chuma? GUYS FEEL FREE TO ADD MORE !!
Sunday, 13 January 2013
Best of Ati.....Kwani ni.....jokes!! (feel free to add)
Subscribe to:
Posts (Atom)